1
Yohana 13:34-35
Neno: Maandiko Matakatifu
“Amri mpya nawapa: Mpendane kama mimi nilivyowapenda ninyi, vivyo hivyo nanyi mpendane. Kama mkipendana ninyi kwa ninyi, kwa njia hii, watu wote watajua kuwa ninyi ni wanafunzi wangu.”
Cymharu
Archwiliwch Yohana 13:34-35
2
Yohana 13:14-15
Kwa hiyo, ikiwa mimi niliye Bwana wenu na Mwalimu wenu nimewanawisha ninyi miguu, pia hamna budi kunawishana miguu ninyi kwa ninyi. Mimi nimewawekea kielelezo kwamba imewapasa kutenda kama vile nilivyowatendea ninyi.
Archwiliwch Yohana 13:14-15
3
Yohana 13:7
Isa akamjibu, “Hivi sasa hutambui lile ninalofanya, lakini baadaye utaelewa.”
Archwiliwch Yohana 13:7
4
Yohana 13:16
Amin, amin nawaambia, mtumishi si mkuu kuliko bwana wake, wala aliyetumwa si mkuu kuliko yule aliyemtuma.
Archwiliwch Yohana 13:16
5
Yohana 13:17
Sasa kwa kuwa mmejua mambo haya, heri yenu ninyi kama mkiyatenda.
Archwiliwch Yohana 13:17
6
Yohana 13:4-5
hivyo aliondoka chakulani, akavua vazi lake la nje, akajifunga kitambaa kiunoni. Kisha akamimina maji kwenye sinia na kuanza kuwanawisha wanafunzi wake miguu na kuikausha kwa kile kitambaa alichokuwa amejifunga kiunoni.
Archwiliwch Yohana 13:4-5
Gartref
Beibl
Cynlluniau
Fideos