1
Luka 16:10
Swahili Roehl Bible 1937
Aliye mwelekevu wa vitu vilivyo vichache huwa mwelekevu hata wa vile vilivyo vingi. Naye aliye mpotovu wa vitu vilivyo vichache huwa mpotovu hata wa vile vilivyo vingi.
Cymharu
Archwiliwch Luka 16:10
2
Luka 16:13
Hakuna mtumishi anayeweza kutumikia mabwana wawili. Kwani itakuwa hivi: atamchukia wa kwanza na kumpenda wa pili, au atashikamana naye wa kwanza na kumbeza wa pili. Hamwezi kuwatumikia wote wawili, Mungu na Mali za Nchini (Mamona).
Archwiliwch Luka 16:13
3
Luka 16:11-12
Basi, msipokuwa waelekevu wa mali za nchini zilizo za upotovu, yuko nani atakayewapa yaliyo ya kweli?* Nanyi msipokuwa waelekevu wa mali zilizo za wengine, yuko nani atakayewapa zilizo zenu?
Archwiliwch Luka 16:11-12
4
Luka 16:31
Lakini akamwambia: Wasipomsikia Mose na Wafumbuaji hawataonyeka, hata mtu akifufuka katika wafu.*
Archwiliwch Luka 16:31
5
Luka 16:18
Kila mtu anayemwacha mkewe na kuoa mwingine anazini; naye anayeoa mke aliyeachwa na mumewe anazini.
Archwiliwch Luka 16:18
Gartref
Beibl
Cynlluniau
Fideos