1
Mattayo MT. 3:8
New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921
Zaeni bassi matunda yaipasayo toba
Cymharu
Archwiliwch Mattayo MT. 3:8
2
Mattayo MT. 3:17
na sauti toka mbinguni ikinena, Huyu ni Mwanangu, mpendwa wangu, ninaependezwa nae.
Archwiliwch Mattayo MT. 3:17
3
Mattayo MT. 3:16
Nae Yesu alipokwisha kubatizwa marra akapanda kutoka majini: mbingu zikamfunukia, akamwona Roho ya Mungu akishuka kama hua, akija juu yake
Archwiliwch Mattayo MT. 3:16
4
Mattayo MT. 3:11
Mimi nawabatizeni katika maji mpate kutubu: bali yeye ajae nyuma yangu ni hodari kuliko mimi, wala sistahili hatta kuchukua viatu vyake; yeye atawabatizeni kwa Roho Mtakatifu na kwa moto.
Archwiliwch Mattayo MT. 3:11
5
Mattayo MT. 3:10
Nalo shoka limekwisha kuwekwa penye shina la miti; bassi killa mti usiozaa matunda mazuri unakatwa na kutupwa motoni.
Archwiliwch Mattayo MT. 3:10
6
Mattayo MT. 3:3
Kwa sababu huyo ndiye aliyenenwa na nabii Isaya, akisema, Sauti yake apigae mbin jangwani, Itengenezeni njia ya Bwana, Nyosheni mapito yake.
Archwiliwch Mattayo MT. 3:3
Gartref
Beibl
Cynlluniau
Fideos