YouVersion Logo
Search Icon

Isaya 66:22-23

Isaya 66:22-23 BHN

“Kama vile mbingu mpya na dunia mpya nitakazoumba zitakavyodumu milele kwa uwezo wangu, ndivyo wazawa wako na jina lako litakavyodumu. Katika kila sikukuu ya mwezi mpya, na katika kila siku ya Sabato, binadamu wote watakuja kuniabudu. Mimi Mwenyezi-Mungu nimesema.

Free Reading Plans and Devotionals related to Isaya 66:22-23