YouVersion Logo
Search Icon

Yobu 17:11-12

Yobu 17:11-12 BHN

“Siku zangu zimekwisha, mipango yangu imevunjwa; matazamio ya moyo wangu yametoweka. Kwa hao rafiki zangu usiku ni mchana; je, ndio kusema mna mwanga gizani humu?

Free Reading Plans and Devotionals related to Yobu 17:11-12