YouVersion Logo
Search Icon

Yeremia 14:20-21

Yeremia 14:20-21 BHN

Tunakiri uovu wetu, ee Mwenyezi-Mungu, tunakiri uovu wa wazee wetu, maana, tumekukosea wewe. Usitutupe, kwa heshima ya jina lako; usikidharau kiti chako cha enzi kitukufu. Ukumbuke agano ulilofanya nasi, wala usilivunje.