Mwanzo 35:11-12
Mwanzo 35:11-12 SWC02
Tena Mungu akamwambia: “Mimi ni Mungu Mwenye Nguvu. Ujaliwe wazao wengi na kuongezeka. Taifa na kundi la mataifa watatokea kwako na wafalme watatokea katika uzao wako. Inchi niliyowapa Abrahamu na Isaka nitakupa wewe na wazao wako.”