YouVersion Logo
Search Icon

Mathayo 6:19-21

Mathayo 6:19-21 TKU

Msijiwekee hazina hapa duniani, mahali nondo na kutu huiharibu. Na wezi wanaweza kuvunja nyumba yako na kuziiba. Badala yake jiwekeeni hazina mbinguni ambako haziwezi kuharibiwa na nondo wala kutu na ambako wezi hawawezi kuvunja na kuziiba. Kwa kuwa roho yako itakuwa mahali ilipo hazina yako.