YouVersion Logo
Search Icon

Ayubu 27:3-4

Ayubu 27:3-4 SRUV

(Kwa kuwa uhai wangu ungali mzima ndani yangu, Na Roho ya Mungu iko katika pua yangu;) Hakika midomo yangu haitanena yasiyo haki, Wala ulimi wangu hautatamka udanganyifu.