YouVersion Logo
Search Icon

Kutoka 4:11-12

Kutoka 4:11-12 SRUV

BWANA akamwambia, Ni nani aliyekifanya kinywa cha mwanadamu? Au ni nani afanyaye mtu kuwa bubu au kiziwi, au mwenye kuona, au kuwa kipofu? Si mimi, BWANA? Basi sasa, nenda, nami nitakuwa pamoja na kinywa chako, na kukufundisha utakalolinena.

Video for Kutoka 4:11-12

Free Reading Plans and Devotionals related to Kutoka 4:11-12