Akatoka tena katika mipaka ya Tiro, akapita katikati ya Sidoni, akaenda mpaka bahari ya Galilaya, kati ya mipaka ya Dekapoli.
Read Mk 7
Share
Wakamletea kiziwi, naye ni mwenye utasi, wakamsihi amwekee mikono.
Akamtenga na mkutano faraghani, akatia vidole vyake masikioni mwake, akatema mate, akamgusa ulimi
akatazama juu mbinguni, akaugua, akamwambia, Efatha, maana yake, Funguka.
Mara masikio yake yakafunguka, kifungo cha ulimi wake kikalegea, akasema vizuri.
Akawaonya wasimwambie mtu; lakini kadiri ya alivyozidi kuwaagiza, ndivyo walivyozidi kutangaza habari
Compare All Versions: Mk 7:31, 32, 33, 34, 35, 36
Save verses, read offline, watch teaching clips, and more!
YouVersion uses cookies to personalize your experience. By using our website, you accept our use of cookies as described in our Privacy Policy
Home
Bible
Plans
Videos