YouVersion Logo
Search Icon

Ayu 20:4-5

Ayu 20:4-5 SUV

Je! Hujui neno hili tangu zamani za kale, Tangu wanadamu kuwekwa juu ya nchi, Ya kuwa shangwe ya waovu ni kwa muda kidogo, Na furaha ya wapotovu ni ya dakika moja tu?

Free Reading Plans and Devotionals related to Ayu 20:4-5