Mathayo 4:19-20
Mathayo 4:19-20 NENO
Isa akawaambia, “Njooni, nifuateni nami nitawafanya mwe wavuvi wa watu.” Mara wakaziacha nyavu zao, wakamfuata.