YouVersion Logo
Search Icon

Luka 4:9-12

Luka 4:9-12 NENO

Kisha ibilisi akampeleka hadi Yerusalemu, akamweka juu ya mnara mrefu wa Hekalu, akamwambia, “Kama wewe ndiwe Mwana wa Mungu, jitupe chini kutoka hapa, kwa maana imeandikwa: “ ‘Atakuagizia malaika wake ili wakulinde kwa uangalifu; nao watakuchukua mikononi mwao, usije ukajikwaa mguu wako katika jiwe.’” Isa akamjibu, “Imenenwa: ‘Usimjaribu Mwenyezi Mungu, Mungu wako.’”