YouVersion Logo
Search Icon

Ayubu 17:11-12

Ayubu 17:11-12 NEN

Siku zangu zimepita, mipango yangu imevunjika, vivyo hivyo shauku za moyo wangu. Watu hawa hufanya usiku kuwa mchana, kwenye giza wao husema, ‘Mwanga u karibu.’

Free Reading Plans and Devotionals related to Ayubu 17:11-12