YouVersion Logo
Search Icon

Yeremia 38:2

Yeremia 38:2 NEN

“Hili ndilo asemalo BWANA: ‘Yeyote akaaye ndani ya mji huu atakufa kwa upanga, njaa au tauni, lakini yeyote atakayejisalimisha kwa Wakaldayo ataishi. Atakayeyatoa maisha yake kama nyara, ataishi.’

Free Reading Plans and Devotionals related to Yeremia 38:2