YouVersion Logo
Search Icon

Yeremia 20:11

Yeremia 20:11 NEN

Lakini BWANA yu pamoja nami kama shujaa mwenye nguvu; hivyo washtaki wangu watajikwaa na kamwe hawatashinda. Watashindwa, nao wataaibika kabisa; kukosa adabu kwao hakutasahauliwa.