YouVersion Logo
Search Icon

Ezekieli 17:24

Ezekieli 17:24 NEN

Miti yote ya kondeni itajua kuwa Mimi BWANA ninaishusha miti mirefu na kuikuza miti mifupi kuwa miti mirefu. Mimi naikausha miti mibichi na kuifanya miti mikavu istawi. “ ‘Mimi BWANA nimesema, nami nitatenda.’ ”

Free Reading Plans and Devotionals related to Ezekieli 17:24