YouVersion Logo
Search Icon

Kutoka 23:25-26

Kutoka 23:25-26 NEN

Utamwabudu BWANA Mungu wako, na baraka zake zitakuwa juu ya vyakula vyako na maji yako. Nami nitaondoa maradhi miongoni mwako, na hakuna atakayeharibu mimba wala atakayekuwa tasa katika nchi yako. Nami nitakupa maisha makamilifu.