1
Zaburi 5:12
Biblia Habari Njema
Maana wewe Mwenyezi-Mungu wawabariki waadilifu; wawakinga kwa fadhili zako kama kwa ngao.
Compare
Explore Zaburi 5:12
2
Zaburi 5:3
Ee Mwenyezi-Mungu, alfajiri waisikia sauti yangu, asubuhi nakutolea tambiko yangu, kisha nangojea unijibu.
Explore Zaburi 5:3
3
Zaburi 5:11
Lakini wafurahi wote wanaokimbilia usalama kwako, waimbe kwa shangwe daima. Uwalinde wanaolipenda jina lako, wapate kushangilia kwa sababu yako.
Explore Zaburi 5:11
4
Zaburi 5:8
Uniongoze, ee Mwenyezi-Mungu, katika uadilifu wako, maana maadui zangu ni wengi; uiweke njia yako wazi mbele yangu.
Explore Zaburi 5:8
5
Zaburi 5:2
Usikilize kilio changu, Mfalme wangu na Mungu wangu, maana wewe ndiwe nikuombaye.
Explore Zaburi 5:2
Home
Bible
Plans
Videos