1
Zaburi 147:3
Biblia Habari Njema
Anawaponya waliovunjika moyo; na kuwatibu majeraha yao.
Compare
Explore Zaburi 147:3
2
Zaburi 147:11
lakini hupendezwa na watu wamchao, watu wanaotegemea fadhili zake.
Explore Zaburi 147:11
3
Zaburi 147:5
Bwana wetu ni mkuu, ana nguvu nyingi; maarifa yake hayana kipimo.
Explore Zaburi 147:5
4
Zaburi 147:4
Anaamua idadi itakayokuwako ya nyota, na kuzipa zote majina yao.
Explore Zaburi 147:4
5
Zaburi 147:6
Mwenyezi-Mungu huwakweza wanyenyekevu, lakini huwatupa waovu mavumbini.
Explore Zaburi 147:6
Home
Bible
Plans
Videos