1
Zaburi 142:5
Biblia Habari Njema
Nakulilia wewe, ee Mwenyezi-Mungu! Wewe ni kimbilio langu la usalama; wewe ni riziki yangu kuu katika nchi ya walio hai.
Compare
Explore Zaburi 142:5
2
Zaburi 142:7
Unitoe humu kifungoni, ili nipate kukushukuru. Watu waadilifu watajiunga nami kwa sababu umenitendea mema mengi.
Explore Zaburi 142:7
3
Zaburi 142:3
Ninapokaribia kukata tamaa kabisa, yeye yupo, anajua mwenendo wangu. Maadui wamenitegea mitego njiani mwangu.
Explore Zaburi 142:3
4
Zaburi 142:1
Namlilia Mwenyezi-Mungu kwa sauti, namsihi Mwenyezi-Mungu kwa sauti yangu.
Explore Zaburi 142:1
5
Zaburi 142:6
Usikilize kilio changu, maana nimekuwa hoi; uniokoe na watesi wangu, maana wamenizidi nguvu.
Explore Zaburi 142:6
Home
Bible
Plans
Videos