1
Waebrania 8:12
Biblia Habari Njema
Nitawasamehe makosa yao, wala sitakumbuka tena dhambi zao.”
Compare
Explore Waebrania 8:12
2
Waebrania 8:10
Hili ndilo agano nitakalofanya na watu wa Israeli siku zijazo, asema Bwana: Nitaweka sheria zangu akilini mwao, na kuziandika mioyoni mwao. Mimi nitakuwa Mungu wao, nao watakuwa watu wangu.
Explore Waebrania 8:10
3
Waebrania 8:11
Hakuna atakayemfundisha mwananchi mwenzake, wala atakayemwambia ndugu yake: ‘Mjue Bwana’. Maana wote, wadogo na wakubwa, watanijua mimi.
Explore Waebrania 8:11
4
Waebrania 8:8
Lakini Mungu aliwalaumu watu wake aliposema: “Siku zinakuja, asema Bwana, ambapo nitafanya agano jipya na watu wa Israeli na wa Yuda.
Explore Waebrania 8:8
5
Waebrania 8:1
Basi, jambo muhimu katika hayo tunayosema ni hili: Sisi tunaye kuhani mkuu wa namna hiyo, ambaye anaketi upande wa kulia wa kiti cha enzi cha Mkuu mbinguni.
Explore Waebrania 8:1
Home
Bible
Plans
Videos