Mpeho akamti Filipo: “Fika hafuhi na lila igari, utonjanye nalo.” Filipo akasara, akamsikia ekisoma kitabu cha mroti Yesaya, akati, “Icho wasoma chakujuvukia?” Naye akati, “Niidimeze kujuvukiwa mntu ekisanivonyesha?” Akamsemba Filipo akwee aikajanye naye.