1
Zaburi 103:2
Swahili Revised Union Version
Ee nafsi yangu, umhimidi BWANA, Wala usizisahau fadhili zake zote.
Compare
Explore Zaburi 103:2
2
Zaburi 103:3-5
Akusamehe maovu yako yote, Akuponya magonjwa yako yote, Aukomboa uhai wako kutoka kwa kaburi, Akutia taji la fadhili na rehema, Aushibisha mema uzee wako, Ujana wako ukarejezwa kama tai
Explore Zaburi 103:3-5
3
Zaburi 103:1
Ee nafsi yangu, umhimidi BWANA. Naam, vyote vilivyo ndani yangu Vilihimidi jina lake takatifu.
Explore Zaburi 103:1
4
Zaburi 103:13
Kama vile baba awahurumiavyo watoto wake, Ndivyo BWANA anavyowahurumia wamchao.
Explore Zaburi 103:13
5
Zaburi 103:12
Kama mashariki ilivyo mbali na magharibi, Ndivyo alivyoweka dhambi zetu mbali nasi.
Explore Zaburi 103:12
6
Zaburi 103:8
BWANA amejaa huruma na neema, Haoni hasira upesi, ni mwingi wa fadhili.
Explore Zaburi 103:8
7
Zaburi 103:10-11
Hakututenda kulingana na hatia zetu, Wala hakutulipa kwa kadiri ya maovu yetu. Maana, kama mbingu zilivyoinuka juu ya nchi, Ndivyo fadhili zake zilivyo kuu kwa wamchao.
Explore Zaburi 103:10-11
8
Zaburi 103:19
BWANA ameweka kiti chake cha enzi mbinguni, Na ufalme wake unavitawala vitu vyote.
Explore Zaburi 103:19
Home
Bible
Plans
Videos