1
Zaburi 100:5
Swahili Revised Union Version
Maana BWANA ni mwema; Rehema zake ni za milele; Na uaminifu wake katika vizazi vyote.
Compare
Explore Zaburi 100:5
2
Zaburi 100:4
Ingieni malangoni mwake kwa shukrani; Nyuani mwake kwa kusifu; Mshukuruni, lihimidini jina lake
Explore Zaburi 100:4
3
Zaburi 100:2
Mtumikieni BWANA kwa furaha; Njoni mbele zake mkiimba
Explore Zaburi 100:2
4
Zaburi 100:3
Jueni kwamba BWANA ndiye Mungu; Ndiye aliyetuumba na sisi tu watu wake; Tu watu wake, na kondoo wa malisho yake.
Explore Zaburi 100:3
Home
Bible
Plans
Videos