1
Hesabu 12:8
Swahili Revised Union Version
Kwake nitanena mdomo kwa mdomo, Maana, waziwazi wala si kwa mafumbo; Na umbo la BWANA yeye ataliona. Mbona basi ninyi hamkuogopa Kumteta mtumishi wangu, huyo Musa?
Compare
Explore Hesabu 12:8
2
Hesabu 12:3
Basi huyo mtu, huyo Musa, alikuwa mpole sana zaidi ya wanadamu wote waliokuwa juu ya uso wa nchi.
Explore Hesabu 12:3
3
Hesabu 12:6
Kisha akawaambia, Sikilizeni basi maneno yangu; Akiwapo nabii kati yenu, Mimi, BWANA, nitajifunua kwake katika maono, Nitasema naye katika ndoto.
Explore Hesabu 12:6
4
Hesabu 12:7
Sivyo ilivyo kwa mtumishi wangu, Musa; Yeye ni mwaminifu katika nyumba yangu yote
Explore Hesabu 12:7
Home
Bible
Plans
Videos