1
Ayubu 5:17-18
Swahili Revised Union Version
Tazama, yu heri mtu yule Mungu amwadhibuye; Kwa hiyo usidharau kurudiwa na huyo Mwenyezi. Kwani yeye huumiza, lakini tena huuguza; Yeye hutia jeraha, na mikono yake huponya.
Compare
Explore Ayubu 5:17-18
2
Ayubu 5:8-9
Lakini mimi ningemtafuta Mungu, Ningemwekea Mungu kesi yangu; Yeye afanyaye mambo makuu, yasiyotambulikana; Mambo ya ajabu yasiyo na hesabu
Explore Ayubu 5:8-9
3
Ayubu 5:19
Yeye atakuokoa na mateso sita; Naam, hata katika saba hapana uovu utakaokugusa.
Explore Ayubu 5:19
Home
Bible
Plans
Videos