Lakini Mungu huwadumisha wenye uwezo kwa nguvu zake;
Huinuka, wasiokuwa na tumaini la kuishi.
Huwapa usalama, nao wapumzika kwao;
Na macho yake yako juu ya njia zao.
Wao wametukuzwa; lakini kitambo kidogo hutoweka;
Naam, hushushwa, na kuondolewa njiani kama wengine wote,
Nao hukatwa kama vile masuke ya ngano.