1
Mwanzo 32:28
Swahili Revised Union Version
Akamwambia, Jina lako hutaitwa tena Yakobo, ila Israeli, maana umeshindana na Mungu, na watu, nawe umeshinda.
Compare
Explore Mwanzo 32:28
2
Mwanzo 32:26
Akasema, Niache, niende, maana kunapambazuka. Akasema, Sikuachi, usiponibariki.
Explore Mwanzo 32:26
3
Mwanzo 32:24
Yakobo akakaa peke yake; na mtu mmoja akashindana naye mweleka hata alfajiri.
Explore Mwanzo 32:24
4
Mwanzo 32:30
Yakobo akapaita mahali pale, Penieli, maana alisema, Nimeonana na Mungu uso kwa uso, na nafsi yangu imeokoka.
Explore Mwanzo 32:30
5
Mwanzo 32:25
Naye alipoona ya kuwa hamshindi, alimgusa panapo uvungu wa paja lake; ukateguka uvungu wa paja la Yakobo alipokuwa akishindana naye.
Explore Mwanzo 32:25
6
Mwanzo 32:27
Akamwuliza, Jina lako ni nani? Akasema, Yakobo.
Explore Mwanzo 32:27
7
Mwanzo 32:29
Yakobo akamwuliza, akasema, Niambie, tafadhali, jina lako? Akasema, Kwa nini waniuliza jina langu? Akambariki huko.
Explore Mwanzo 32:29
8
Mwanzo 32:10
mimi sistahili hata kidogo hizo rehema zote na kweli yote uliyomfanyia mtumwa wako; maana nilivuka mto huo wa Yordani na fimbo yangu tu, na sasa nimekuwa makundi mawili.
Explore Mwanzo 32:10
9
Mwanzo 32:32
Kwa hiyo wana wa Israeli hawali ule mshipa ulio katika uvungu wa paja hata leo; maana alimgusa Yakobo panapo uvungu wa paja katika mshipa wa kiuno.
Explore Mwanzo 32:32
10
Mwanzo 32:9
Yakobo akasema, Ee Mungu wa baba yangu Abrahamu, na Mungu wa baba yangu Isaka, BWANA, uliyeniambia, Rudi uende mpaka nchi yako, na kwa jamaa zako, nami nitakutendea mema
Explore Mwanzo 32:9
11
Mwanzo 32:11
Uniokoe sasa kutoka kwa mkono wa ndugu yangu, mkono wa Esau, maana mimi ninamwogopa, asije akaniua, na kina mama pamoja na watoto.
Explore Mwanzo 32:11
Home
Bible
Plans
Videos