1
Kumbukumbu la Torati 23:23
Swahili Revised Union Version
Yaliyotoka midomoni mwako yashike kuyafanya; kwa mfano wa ulivyomwekea nadhiri BWANA, Mungu wako, ni sadaka ya hiari uliyoahidi kwa kinywa chako.
Compare
Explore Kumbukumbu la Torati 23:23
2
Kumbukumbu la Torati 23:21
Utakapoweka nadhiri kwa BWANA, Mungu wako, usiwe mlegevu katika kuiondoa; kwa kuwa BWANA, Mungu wako, hataacha kuitaka kwako; nayo hivi itakuwa dhambi kwako.
Explore Kumbukumbu la Torati 23:21
3
Kumbukumbu la Torati 23:22
Lakini ukijizuia usiweke nadhiri, haitakuwa dhambi kwako.
Explore Kumbukumbu la Torati 23:22
Home
Bible
Plans
Videos