akisema,
Nenda kwa watu hawa, ukawaambie,
Kusikia, mtasikia wala hamtafahamu;
Na kuona, mtaona wala hamtatambua;
Kwa maana mioyo ya watu hawa imepumbaa,
Na masikio yao ni mazito ya kusikia,
Na macho yao wameyafumba;
Wasije wakaona kwa macho yao,
Na kusikia kwa masikio yao,
Na kufahamu kwa mioyo yao,
Na kubadili nia zao, nikawaponya.