1
Zaburi 22:1
Swahili Revised Union Version
Mungu wangu, Mungu wangu, Mbona umeniacha? Mbona U mbali na wokovu wangu, Na maneno ya kuugua kwangu?
Compare
Explore Zaburi 22:1
2
Zaburi 22:5
Walikulilia Wewe wakaokoka, Walikutumainia, nao hawakuaibika.
Explore Zaburi 22:5
3
Zaburi 22:27-28
Miisho yote ya dunia itakumbuka, Na watu watamrejea BWANA; Jamaa zote za mataifa watamsujudia. Maana ufalme ni wa BWANA, Naye ndiye awatawalaye mataifa.
Explore Zaburi 22:27-28
4
Zaburi 22:18
Wanagawanya nguo zangu, Na vazi langu wanalipigia kura.
Explore Zaburi 22:18
5
Zaburi 22:31
Watautangaza wokovu wake kwa watakaozaliwa, Ya kwamba ndiye aliyeyafanya.
Explore Zaburi 22:31
Home
Bible
Plans
Videos