1
Mithali 31:30
Swahili Revised Union Version
Upendeleo hudanganya, na uzuri ni ubatili; Bali mwanamke amchaye BWANA, ndiye atakayesifiwa.
Compare
Explore Mithali 31:30
2
Mithali 31:25-26
Nguvu na hadhi ndiyo mavazi yake; Anaucheka wakati ujao. Hufumbua kinywa chake kwa hekima, Na sheria ya wema iko katika ulimi wake.
Explore Mithali 31:25-26
3
Mithali 31:20
Huwakunjulia maskini mikono yake; Naam, huwanyoshea wahitaji mikono yake.
Explore Mithali 31:20
4
Mithali 31:10
Mke mwema, ni nani awezaye kumwona? Maana thamani yake yapita thamani ya marijani.
Explore Mithali 31:10
5
Mithali 31:31
Mpe mapato ya mikono yake, Na matendo yake yamsifu malangoni.
Explore Mithali 31:31
6
Mithali 31:28
Wanawe huondoka na kumwita heri; Mumewe naye humsifu, na kusema
Explore Mithali 31:28
Home
Bible
Plans
Videos