1
Mathayo 5:15-16
Swahili Revised Union Version
Wala watu hawawashi taa na kuiweka chini ya pishi, bali juu ya kiango; nayo yawaangaza wote waliomo nyumbani. Vivyo hivyo nuru yenu na iangaze mbele ya watu, wapate kuyaona matendo yenu mema, wamtukuze Baba yenu aliye mbinguni.
Compare
Explore Mathayo 5:15-16
2
Mathayo 5:14
Ninyi ni nuru ya ulimwengu. Mji ukiwa juu ya mlima hauwezi kusitirika.
Explore Mathayo 5:14
3
Mathayo 5:8
Heri wenye moyo safi; Maana hao watamwona Mungu.
Explore Mathayo 5:8
4
Mathayo 5:6
Heri wenye njaa na kiu ya haki; Maana hao watashibishwa.
Explore Mathayo 5:6
5
Mathayo 5:44
lakini mimi nawaambia, Wapendeni adui zenu, waombeeni wanaowaudhi
Explore Mathayo 5:44
6
Mathayo 5:3
Heri walio maskini wa roho; Maana ufalme wa mbinguni ni wao.
Explore Mathayo 5:3
7
Mathayo 5:9
Heri wapatanishi; Maana hao wataitwa wana wa Mungu.
Explore Mathayo 5:9
8
Mathayo 5:4
Heri wenye huzuni; Maana hao watafarijika.
Explore Mathayo 5:4
9
Mathayo 5:10
Heri wenye kuudhiwa kwa ajili ya haki; Maana ufalme wa mbinguni ni wao.
Explore Mathayo 5:10
10
Mathayo 5:7
Heri wenye rehema; Maana hao watapata rehema.
Explore Mathayo 5:7
11
Mathayo 5:11-12
Heri ninyi watakapowashutumu na kuwaudhi na kuwanenea kila neno baya kwa uongo, kwa ajili yangu. Furahini, na kushangilia; kwa kuwa thawabu yenu ni kubwa mbinguni; kwa maana ndivyo walivyowaudhi manabii waliokuwa kabla yenu.
Explore Mathayo 5:11-12
12
Mathayo 5:5
Heri wenye upole; Maana hao watairithi nchi.
Explore Mathayo 5:5
13
Mathayo 5:13
Ninyi ni chumvi ya dunia; lakini chumvi ikipoteza ladha yake, ladha hiyo itarudishwa vipi? Haifai tena kabisa, ila kutupwa nje na kukanyagwa na watu.
Explore Mathayo 5:13
14
Mathayo 5:48
Basi ninyi iweni wakamilifu, kama Baba yenu wa mbinguni alivyo mkamilifu.
Explore Mathayo 5:48
15
Mathayo 5:37
Bali maneno yenu yawe Ndiyo, ndiyo; Siyo, siyo; kwa kuwa yazidiyo hayo yatoka kwa yule mwovu.
Explore Mathayo 5:37
16
Mathayo 5:38-39
Mmesikia kwamba imenenwa, Jicho kwa jicho, na jino kwa jino; Lakini mimi nawaambia, Msishindane na mtu mwovu; lakini mtu akupigaye shavu la kulia, mgeuzie na la pili.
Explore Mathayo 5:38-39
17
Mathayo 5:29-30
Jicho lako la kulia likikukosesha, ling'oe ulitupe mbali nawe; kwa maana yakufaa kiungo chako kimoja kipotee kuliko mwili wako wote utupwe katika Jehanamu. Na mkono wako wa kulia ukikukosesha, ukate uutupe mbali nawe; kwa maana yakufaa kiungo chako kimoja kipotee kuliko mwili wako wote kutupwa katika Jehanamu.
Explore Mathayo 5:29-30
Home
Bible
Plans
Videos