1
Mhubiri 1:18
Swahili Revised Union Version
Yaani, Katika wingi wa hekima mna wingi wa huzuni; Naye aongezaye maarifa huongeza masikitiko.
Compare
Explore Mhubiri 1:18
2
Mhubiri 1:9
Yaliyokuwako ndiyo yatakayokuwako; na yaliyotendeka ndiyo yatakayotendeka; wala jambo jipya hakuna chini ya jua.
Explore Mhubiri 1:9
3
Mhubiri 1:8
Mambo yote yamejaa uchovu usioneneka, jicho halishibi kuona, wala sikio halikinai kusikia.
Explore Mhubiri 1:8
4
Mhubiri 1:2-3
Mhubiri asema, Ubatili mtupu, ubatili mtupu, mambo yote ni ubatili. Mtu ana faida gani ya kazi yake yote aifanyayo chini ya jua?
Explore Mhubiri 1:2-3
5
Mhubiri 1:14
Nimeziona kazi zote zifanywazo chini ya jua; na, tazama, mambo yote ni ubatili na kufukuza upepo.
Explore Mhubiri 1:14
6
Mhubiri 1:4
Kizazi huenda, kizazi huja; nayo dunia hudumu daima.
Explore Mhubiri 1:4
7
Mhubiri 1:11
Hakuna kumbukumbu lolote la vizazi vilivyotangulia; wala hakutakuwa na kumbukumbu lolote la vizazi vitakavyokuja, miongoni mwao wale watakaofuata baadaye.
Explore Mhubiri 1:11
8
Mhubiri 1:17
Nikatia moyo wangu ili kuijua hekima, na kujua wazimu na upumbavu; nikatambua ya kwamba hayo yote nayo ni kufukuza upepo.
Explore Mhubiri 1:17
Home
Bible
Plans
Videos