1
Zab 94:19
Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia
Katika wingi wa mawazo ya moyoni mwangu, Faraja zako zaifurahisha roho yangu.
Compare
Explore Zab 94:19
2
Zab 94:18
Niliposema, Mguu wangu unateleza; Ee BWANA, fadhili zako zilinitegemeza.
Explore Zab 94:18
3
Zab 94:22
Lakini BWANA amekuwa ngome kwangu, Na Mungu wangu mwamba wangu wa kukimbilia.
Explore Zab 94:22
4
Zab 94:12
Ee BWANA, heri mtu yule umwadibuye, Na kumfundisha kwa sheria yako
Explore Zab 94:12
5
Zab 94:17
Kama BWANA asingalikuwa msaada wangu, Nafsi yangu kwa upesi ingalikaa penye kimya.
Explore Zab 94:17
6
Zab 94:14
Kwa kuwa BWANA hatawatupa watu wake, Wala hutauacha urithi wake
Explore Zab 94:14
Home
Bible
Plans
Videos