1
Zab 46:10
Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia
Acheni, mjue ya kuwa Mimi ni Mungu, Nitakuzwa katika mataifa, nitakuzwa katika nchi.
Compare
Explore Zab 46:10
2
Zab 46:1-2
Mungu kwetu sisi ni kimbilio na nguvu, Msaada utakaoonekana tele wakati wa mateso. Kwa hiyo hatutaogopa ijapobadilika nchi, Ijapotetemeka milima moyoni mwa bahari.
Explore Zab 46:1-2
3
Zab 46:4-5
Kuna mto, vijito vyake vyaufurahisha mji wa Mungu, Patakatifu pa maskani zake Aliye juu. Mungu yu katikati yake hautatetemeshwa; Mungu atausaidia asubuhi na mapema.
Explore Zab 46:4-5
4
Zab 46:9
Avikomesha vita hata mwisho wa dunia; Avunja uta, akata mkuki, achoma moto magari.
Explore Zab 46:9
Home
Bible
Plans
Videos