1
Zab 30:5
Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia
Maana ghadhabu zake ni za kitambo kidogo, Katika radhi yake mna uhai. Huenda kilio huja kukaa usiku, Lakini asubuhi huwa furaha.
Compare
Explore Zab 30:5
2
Zab 30:11-12
Uligeuza matanga yangu kuwa machezo; Ulinivua gunia, ukanivika furaha. Ili utukufu wangu ukusifu, Wala usinyamaze. Ee BWANA, Mungu wangu, Nitakushukuru milele.
Explore Zab 30:11-12
3
Zab 30:2
Ee BWANA, Mungu wangu, Nalikulilia ukaniponya.
Explore Zab 30:2
4
Zab 30:4
Mwimbieni BWANA zaburi, Enyi watauwa wake. Na kufanya shukrani. Kwa kumbukumbu la utakatifu wake.
Explore Zab 30:4
5
Zab 30:1
Ee BWANA, nitakutukuza kwa maana umeniinua, Wala hukuwafurahisha adui zangu juu yangu.
Explore Zab 30:1
Home
Bible
Plans
Videos