1
Mit 22:6
Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia
Mlee mtoto katika njia impasayo, Naye hataiacha, hata atakapokuwa mzee.
Compare
Explore Mit 22:6
2
Mit 22:4
Thawabu ya unyenyekevu ambao ni kumcha BWANA Ni utajiri, na heshima, nayo ni uzima.
Explore Mit 22:4
3
Mit 22:1
Heri kuchagua jina jema kuliko mali nyingi; Na neema kuliko fedha na dhahabu.
Explore Mit 22:1
4
Mit 22:24
Usifanye urafiki na mtu mwenye hasira nyingi; Wala usiende na mtu wa ghadhabu nyingi
Explore Mit 22:24
5
Mit 22:9
Mwenye jicho la ukarimu atabarikiwa; Maana huwapa maskini chakula chake.
Explore Mit 22:9
6
Mit 22:3
Mwenye busara huyaona mabaya na kujificha; Bali wajinga huendelea mbele wakaumia.
Explore Mit 22:3
7
Mit 22:7
Tajiri humtawala maskini, Naye akopaye ni mtumwa wake akopeshaye.
Explore Mit 22:7
8
Mit 22:2
Tajiri na maskini hukutana pamoja; BWANA ndiye aliyewaumba wote wawili.
Explore Mit 22:2
9
Mit 22:22-23
Usimnyang’anye maskini, kwa kuwa ni maskini; Wala usimdhulumu mtu mnyonge langoni; Kwa sababu BWANA atawatetea; Naye atawateka uhai wao waliowateka.
Explore Mit 22:22-23
YouVersion uses cookies to personalize your experience. By using our website, you accept our use of cookies as described in our Privacy Policy
Home
Bible
Plans
Videos