1
Mit 1:7-8
Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia
Kumcha BWANA ni chanzo cha maarifa, Bali wapumbavu hudharau hekima na adabu. Mwanangu, yasikilize mafundisho ya baba yako, Wala usiiache sheria ya mama yako
Compare
Explore Mit 1:7-8
2
Mit 1:32-33
Maana kurudi nyuma kwao wajinga kutawaua, Na kufanikiwa kwao wapumbavu kutawaangamiza. Bali kila anisikilizaye atakaa salama, Naye atatulia bila kuogopa mabaya.
Explore Mit 1:32-33
3
Mit 1:5
mwenye hekima asikie na kuongezewa elimu, na mwenye ufahamu ayafikie mashauri yenye njia.
Explore Mit 1:5
4
Mit 1:10
Mwanangu, wenye dhambi wakikushawishi, Wewe usikubali.
Explore Mit 1:10
5
Mit 1:1-4
Mithali za Sulemani, mwana wa Daudi, mfalme wa Israeli. Kujua hekima na adabu; kutambua maneno ya ufahamu; kufundishwa matendo ya busara, katika haki na hukumu na adili. Kuwapa wajinga werevu, na kijana maarifa na hadhari
Explore Mit 1:1-4
6
Mit 1:28-29
Ndipo watakaponiita, lakini sitaitika; Watanitafuta kwa bidii, wasinione. Kwa kuwa walichukia maarifa, Wala hawakuchagua kumcha BWANA.
Explore Mit 1:28-29
Home
Bible
Plans
Videos