1
Ebr 8:12
Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia
Kwa sababu nitawasamehe maovu yao, Na dhambi zao sitazikumbuka tena.
Compare
Explore Ebr 8:12
2
Ebr 8:10
Maana hili ndilo agano nitakaloagana na nyumba ya Israeli Baada ya siku zile, asema Bwana; Nitawapa sheria zangu katika nia zao, Na katika mioyo yao nitaziandika; Nami nitakuwa Mungu kwao, Nao watakuwa watu wangu.
Explore Ebr 8:10
3
Ebr 8:11
Nao hawatafundishana kila mtu na jirani yake, Na kila mtu na ndugu yake, akisema, Mjue Bwana; Kwa maana wote watanijua, Tangu mdogo wao hata mkubwa wao.
Explore Ebr 8:11
4
Ebr 8:8
Maana, awalaumupo, asema Angalia, siku zinakuja, asema Bwana, Nami nitawatimizia nyumba ya Israeli na nyumba ya Yuda agano jipya
Explore Ebr 8:8
5
Ebr 8:1
Basi, katika hayo tunayosema, neno lililo kuu ndilo hili: Tunaye kuhani mkuu wa namna hii, aliyeketi mkono wa kuume wa kiti cha enzi cha Ukuu mbinguni
Explore Ebr 8:1
Home
Bible
Plans
Videos