1
2 Nya 7:14
Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia
ikiwa watu wangu, walioitwa kwa jina langu, watajinyenyekesha, na kuomba, na kunitafuta uso, na kuziacha njia zao mbaya; basi, nitasikia toka mbinguni, na kuwasamehe dhambi yao, na kuiponya nchi yao.
Compare
Explore 2 Nya 7:14
2
2 Nya 7:15
Sasa macho yangu yatafumbuka, na masikio yangu yatasikiliza maombi ya watu waombao mahali hapa.
Explore 2 Nya 7:15
3
2 Nya 7:16
Maana sasa nimeichagua nyumba hii na kuitakasa, ili kwamba jina langu lipate kuwako huko milele; yatakuwako na macho yangu, na moyo wangu daima.
Explore 2 Nya 7:16
4
2 Nya 7:13
Nikizifunga mbingu isiwe mvua, tena nikiamuru nzige kula nchi, au nikiwapelekea watu wangu tauni
Explore 2 Nya 7:13
5
2 Nya 7:12
BWANA akamtokea Sulemani usiku, akamwambia, Nimesikia uliyoyaomba, na mahali hapa nimejichagulia kuwa nyumba ya dhabihu.
Explore 2 Nya 7:12
Home
Bible
Plans
Videos