1
Zaburi 91:2
Neno: Bibilia Takatifu
Nitasema kumhusu BWANA, “Yeye ndiye kimbilio langu na ngome yangu, Mungu wangu, ambaye ninamtumaini.”
Compare
Explore Zaburi 91:2
2
Zaburi 91:1
Yeye akaaye mahali pa salama pake Yeye Aliye Juu Sana, atadumu katika uvuli wake Mwenyezi.
Explore Zaburi 91:1
3
Zaburi 91:15
Ataniita, nami nitamjibu; nitakuwa pamoja naye katika taabu, nitamwokoa na kumheshimu.
Explore Zaburi 91:15
4
Zaburi 91:11
Kwa kuwa atawaagiza malaika zake kwa ajili yako, wakulinde katika njia zako zote.
Explore Zaburi 91:11
5
Zaburi 91:4
Atakufunika kwa manyoya yake, chini ya mbawa zake utapata kimbilio, uaminifu wake utakuwa ngao na kinga yako.
Explore Zaburi 91:4
6
Zaburi 91:9-10
Kama ukimfanya Aliye Juu Sana kuwa makao yako: naam, BWANA ambaye ni kimbilio langu, basi hakuna madhara yatakayokupata wewe, hakuna maafa yataikaribia hema yako.
Explore Zaburi 91:9-10
7
Zaburi 91:3
Hakika yeye ataniokoa na mtego wa mwindaji, na maradhi ya kuambukiza ya kuua.
Explore Zaburi 91:3
8
Zaburi 91:7
Ijapo watu elfu wataangukia kando yako, kumi elfu mkono wako wa kuume, lakini haitakukaribia wewe.
Explore Zaburi 91:7
9
Zaburi 91:5-6
Hutaogopa vitisho vya usiku, wala mshale urukao mchana, wala maradhi ya kuambukiza yanayonyemelea gizani, wala tauni iharibuyo adhuhuri.
Explore Zaburi 91:5-6
Home
Bible
Plans
Videos