1
Zaburi 18:2
Neno: Bibilia Takatifu
BWANA ni mwamba wangu, ngome yangu na mwokozi wangu, Mungu wangu ni mwamba, ambaye kwake ninakimbilia. Yeye ni ngao yangu na pembe ya wokovu wangu, ngome yangu.
Compare
Explore Zaburi 18:2
2
Zaburi 18:30
Kuhusu Mungu, njia yake ni kamilifu, neno la BWANA halina dosari. Yeye ni ngao kwa wote wanaokimbilia kwake.
Explore Zaburi 18:30
3
Zaburi 18:3
Ninamwita BWANA anayestahili kusifiwa, nami ninaokolewa kutoka kwa adui zangu.
Explore Zaburi 18:3
4
Zaburi 18:6
Katika shida yangu nalimwita BWANA, nilimlilia Mungu wangu anisaidie. Kutoka hekaluni mwake alisikia sauti yangu, kilio changu kikafika mbele zake, masikioni mwake.
Explore Zaburi 18:6
5
Zaburi 18:28
Wewe, Ee BWANA, unaifanya taa yangu iendelee kuwaka; Mungu wangu hulifanya giza langu kuwa mwanga.
Explore Zaburi 18:28
6
Zaburi 18:32
Mungu ndiye anivikaye nguvu na kufanya njia yangu kuwa kamilifu.
Explore Zaburi 18:32
7
Zaburi 18:46
BWANA yu hai! Sifa ni kwa Mwamba wangu! Atukuzwe Mungu Mwokozi wangu!
Explore Zaburi 18:46
Home
Bible
Plans
Videos