1
Zaburi 13:5
Neno: Bibilia Takatifu
Lakini ninategemea upendo wako usiokoma; moyo wangu unashangilia katika wokovu wako.
Compare
Explore Zaburi 13:5
2
Zaburi 13:6
Nitamwimbia BWANA, kwa kuwa amekuwa mwema kwangu.
Explore Zaburi 13:6
3
Zaburi 13:1
Mpaka lini, Ee BWANA? Je, utanisahau milele? Utanificha uso wako mpaka lini?
Explore Zaburi 13:1
4
Zaburi 13:2
Nitapambana na mawazo yangu mpaka lini, na kila siku kuwa na majonzi moyoni mwangu? Adui zangu watanishinda mpaka lini?
Explore Zaburi 13:2
Home
Bible
Plans
Videos