1
Marko 3:35
Neno: Bibilia Takatifu
Mtu yeyote anayetenda mapenzi ya Mungu, huyo ndiye ndugu yangu, na dada yangu na mama yangu.”
Compare
Explore Marko 3:35
2
Marko 3:28-29
Amin, nawaambia, dhambi zote na makufuru yote ya wanadamu watasamehewa. Lakini yeyote anayemkufuru Roho Mtakatifu hatasamehewa kamwe, atakuwa na hatia ya dhambi ya milele.”
Explore Marko 3:28-29
3
Marko 3:24-25
Kama ufalme ukigawanyika dhidi yake wenyewe, ufalme huo hauwezi kusimama. Nayo nyumba kama ikigawanyika dhidi yake yenyewe, nyumba hiyo haiwezi kusimama.
Explore Marko 3:24-25
4
Marko 3:11
Kila mara pepo wachafu walipomwona, walianguka chini mbele yake na kupiga kelele wakisema, “Wewe ndiwe Mwana wa Mungu.”
Explore Marko 3:11
YouVersion uses cookies to personalize your experience. By using our website, you accept our use of cookies as described in our Privacy Policy
Home
Bible
Plans
Videos