1
Marko 15:34
Neno: Maandiko Matakatifu 2024
Hapo saa tisa, Isa akapaza sauti, akalia, “Eloi, Eloi, lama sabakthani?” (maana yake, “Mungu wangu, Mungu wangu, mbona umeniacha?”)
Compare
Explore Marko 15:34
2
Marko 15:39
Basi yule jemadari aliyekuwa amesimama hapo mbele ya msalaba wa Isa aliposikia ile sauti yake na kuona jinsi alivyokata roho, akasema, “Hakika mtu huyu alikuwa Mwana wa Mungu!”
Explore Marko 15:39
3
Marko 15:38
Pazia la Hekalu likachanika vipande viwili kuanzia juu hadi chini.
Explore Marko 15:38
4
Marko 15:37
Kisha Isa akatoa sauti kuu, akakata roho.
Explore Marko 15:37
5
Marko 15:33
Ilipofika saa sita, giza liliifunika nchi yote hadi saa tisa.
Explore Marko 15:33
6
Marko 15:15
Pilato, akitaka kuridhisha umati ule wa watu, akawafungulia Baraba. Naye baada ya kuamuru Isa apigwe mijeledi, akamtoa ili asulubishwe.
Explore Marko 15:15
Home
Bible
Plans
Videos