1
Marko 1:35
Neno: Maandiko Matakatifu 2024
Alfajiri na mapema sana kulipokuwa bado kuna giza, Isa akaamka, akaondoka, akaenda mahali pa faragha ili kuomba.
Compare
Explore Marko 1:35
2
Marko 1:15
akisema, “Wakati umetimia, ufalme wa Mungu umekaribia. Tubuni na kuiamini Injili.”
Explore Marko 1:15
3
Marko 1:10-11
Isa alipokuwa akitoka ndani ya maji, aliona mbingu zikifunguka na Roho wa Mungu akishuka juu yake kama hua. Nayo sauti kutoka mbinguni ikasema, “Wewe ni Mwanangu mpendwa; nami nimependezwa nawe sana.”
Explore Marko 1:10-11
4
Marko 1:8
Mimi nawabatiza kwa maji, lakini yeye atawabatiza kwa Roho wa Mungu.”
Explore Marko 1:8
5
Marko 1:17-18
Isa akawaambia, “Njooni, nifuateni nami nitawafanya mwe wavuvi wa watu.” Mara wakaacha nyavu zao, wakamfuata.
Explore Marko 1:17-18
6
Marko 1:22
Watu wakashangaa sana kwa mafundisho yake, kwa maana alikuwa akiwafundisha kama mtu mwenye mamlaka, wala si kama walimu wa Torati.
Explore Marko 1:22
Home
Bible
Plans
Videos