1
Mathayo 22:37-39
Neno: Maandiko Matakatifu 2024
Isa akamjibu, “ ‘Mpende Mwenyezi Mungu, Mungu wako, kwa moyo wako wote na kwa roho yako yote na kwa akili zako zote.’ Hii ndiyo amri iliyo kuu, tena ni ya kwanza. Nayo ya pili ni kama hiyo, nayo ni hii: ‘Mpende jirani yako kama nafsi yako.’
Compare
Explore Mathayo 22:37-39
2
Mathayo 22:40
Amri hizi mbili ndizo msingi wa Torati na Manabii.”
Explore Mathayo 22:40
3
Mathayo 22:14
“Kwa maana walioitwa ni wengi, lakini walioteuliwa ni wachache.”
Explore Mathayo 22:14
4
Mathayo 22:30
Wakati wa ufufuo, watu hawataoa wala kuolewa, bali watakuwa kama malaika wa mbinguni.
Explore Mathayo 22:30
5
Mathayo 22:19-21
Nionesheni hiyo sarafu inayotumika kwa kulipia kodi.” Wakamletea dinari. Naye akawauliza, “Sura hii ni ya nani? Na maandishi haya ni ya nani?” Wakamjibu, “Ni vya Kaisari.” Basi Isa akawaambia, “Mpeni Kaisari kilicho cha Kaisari, naye Mungu mpeni kilicho cha Mungu.”
Explore Mathayo 22:19-21
Home
Bible
Plans
Videos